VIDEO: Diamond Platnumz shows off his new multi-million shilling Pretoria mansion By Brian Okoth on October 27, 2016 View this post on Instagram Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu….? Wambie wasininunie mie, wakazane….halaf hii clip naomba wanangu mnisaidie kuwatag wote waliokuwa busy kupost na kuzungumza Kuwa nyumba hii si yangu….waambie hizi ndio kwanza rasharasha clip hata kupost sijaanza bado….soon naamia ndani😂😂…halaf nlisahau, wakikwambia mie mswahili wambie Mswahili haswaaa👌… halaf uswahili wangu najua kuutumia na umefanya leo niwe na kibanda south asa wao Uzungu wao Umewapa nini😂 A post shared by Chibu Dangote..! (@diamondplatnumz) on Oct 25, 2016 at 12:12pm PDT tagged in: Chibu Dangote Diamond Platnumz Diamond Platnumz and Zari Hassan news PHOTOS: Diamond Platnumz shows off new mansion video Zari Hassan